MCHAKATO WA BBI
Mchakato huu unaongozwa na kinara wa ODM Raila Odinga, ulianza na safari ya ya kisii ulipofika kule katika kaunti ya kisii aliyepewa kuwa mwenyekiti ni Juneth Mohammed. Magavana woote wa nyanza wameungana kuunga mkona BBI. Alipopewa nafasi mbunge wa borabu Ben Momanyi alisema kwamba ingewezekana referendum kufanyika jioni hiyo baada ya mkutano wa kisii kuisha […]