UKOSOAJI WA POLISI KWA KAZI YAO.
Kazi wanaoifanya polisi wa humu nchini kamwe kwa upande mwingine huwezi kuishabikia kwa anyeona ipo kazi shwari kwa vitengo vyao.Ndio maana naweza kusema,”kazi inayofanywa na kitambulisho hudumu kwa muda mfupi, lakini utambuzi kutoka kwa kazi hudumu kwa muda mrefu”. Wanasiasa kila wapitapo linalotoka kinywani mwao ni kwamba vijana wanaumia, kwa kweli sisi vijana hatuna bahati […]